Nikar Wakulima Center (NIWAC) ni app inayowawezesha wakulima kuuza mazao yao kwa bei rafiki na pia kununua bidhaa mbalimbali za kilimo.